Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam reymage meona ng'ombe zizini nakuja kunywa maziwaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Umependeza hio kofia inakutoa [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]!!
[emoji3059][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ahsante dear Niko ktk utafutaji mama angu! ahsanteee sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi bahasha zinabebwa? Si mwendo wa mail tu…

2018 kuna ofisi nilijibiwa jibu ambalo sikurudiaga kubeba bahasha nikaenda ofisini kwa watu [emoji1787][emoji23]

Ofisini yenyewe hata jina nishaisahau, iko posta mojawapo ya yale majengo pacha.

Khaa yule dada [emoji38][emoji38][emoji38]


Wakati mwingine nilimiss tu kuwa interviewed, nikaandika email ofisi flani wako Masaki, hawa walikuwa wametoa tangazo.. sema kuna ka factor kalikuwa kamenipush, 2020 hiyoo nilikuwa natamani kuhamq Arusha

Niliandika barua hiyoo? Nilikopa kingereza mtaa wa 7 nikajimaliza balaaa…. Nikaitwa interview, hiyo siku kwanza nilikuta more than 4 missed calls na sms juu ‘sisi ni flani flani pls tutafute..

Basi chap nikawapigia, yule mama baada ya salamu akaanza kuniambia yan we jobless na hukai karibu na simu una raha gani? Nilihisi kuwa offended [emoji23][emoji23]

Basi tukaongea nikamwambia siko Dar na itakuwa ngumu kufika.. basi akanipangia Zoom …. Kwa mara ya kwanza nakutana na panel ya watu wanne … niliogopaaa, ila nikakaza


Hapo najua niko mahali na siwezi kurupuka nikatokapo, basi kipengele cha mshahara tarajiwa nikataja figure ambayo najua walidhani kabisa hili toto halina shida na kazi [emoji22]
Nikawa nishawasahau.. hiyo siku nakuta email’ we regret to inform you that…..
Depal hunaga akili kidogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lunchtime. Tupieni picha za vyakula..
PXL_20220912_104200500.PORTRAIT.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hama kijijini naweee, sasa huko danga n Diwani au mtendaji wa kata, lol
[emoji1][emoji1][emoji1]danga ,diwani,mtendaji au mwlkuu
Mi sijawahi fanya kazi bush ni mjini tu Dom,dar baasii Tena mjini
Vijijini wakae wenyewe,afanye ahame bwana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi natamani ninoge kama Mpendwa 😍


Kuna rafiki yangu mmoja amenitumia picha jana alivyokuwa mjamzito,,Yaani alivimba uso kama fenesi.
Sasahivi amejirudi kama zamani.
Mimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
 
Back
Top Bottom