Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee sema kweli mr Vocha??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa sie tusiopendwa mnatusaidiaje sasa??[emoji6][emoji6] Watu ni tumedodaa hukuu hatupendwiiii uwiii sijui tunakwama wapi walai! Mtufantie maombi tyu no way
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hama kijijini naweee, sasa huko danga n Diwani au mtendaji wa kata, lol
 
Na pa kuweka unapajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The husler mwenyewe
Nitakunyimaje wewe sasa
Nitaanzia wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza em nipambane na ka job hapa, tutazungumza baadae, kwa kuweka unapajua, afu ahadi n Deni.

Uzuri wake nakuweza, hatutashindwana. Siku njema boss kubwaaaa akeeee.
 
asante kaka , be blessed
kubeba bahasha sio poa
Siku hizi bahasha zinabebwa? Si mwendo wa mail tu…

2018 kuna ofisi nilijibiwa jibu ambalo sikurudiaga kubeba bahasha nikaenda ofisini kwa watu 🤣😂

Ofisini yenyewe hata jina nishaisahau, iko posta mojawapo ya yale majengo pacha.

Khaa yule dada 😆😆😆


Wakati mwingine nilimiss tu kuwa interviewed, nikaandika email ofisi flani wako Masaki, hawa walikuwa wametoa tangazo.. sema kuna ka factor kalikuwa kamenipush, 2020 hiyoo nilikuwa natamani kuhamq Arusha

Niliandika barua hiyoo? Nilikopa kingereza mtaa wa 7 nikajimaliza balaaa…. Nikaitwa interview, hiyo siku kwanza nilikuta more than 4 missed calls na sms juu ‘sisi ni flani flani pls tutafute..

Basi chap nikawapigia, yule mama baada ya salamu akaanza kuniambia yan we jobless na hukai karibu na simu una raha gani? Nilihisi kuwa offended 😂😂

Basi tukaongea nikamwambia siko Dar na itakuwa ngumu kufika.. basi akanipangia Zoom …. Kwa mara ya kwanza nakutana na panel ya watu wanne … niliogopaaa, ila nikakaza


Hapo najua niko mahali na siwezi kurupuka nikatokapo, basi kipengele cha mshahara tarajiwa nikataja figure ambayo najua walidhani kabisa hili toto halina shida na kazi 😢
Nikawa nishawasahau.. hiyo siku nakuta email’ we regret to inform you that…..
 
Hebu tuma pesa kwan nkutafutie nyumba ya kuishi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa shos dalali akee fanya kunitafutia mapemaaaa.. list ikitoka tu ni kuripot na kuanza kazi on spot hakuna kuomba omba ruhusa nijiandae Sijui!
Tafuta nyumba na bonge la bwanaaa najua huwezi niangushaaa
 
Hapa ndipo role ya mama inapokuja. Yani ukitaka kuzaa lazima ujikatae yani sura lazima ifomatiwe upyaa yani uvumilie vingi so na kina baba hapa ndipo muda wa kuwavumilia wake zenu sio ulimzoea pua mchongoko hapa lazima pua ijae kidogo kama andazi. Ila mwisho wa siku anakuletea Jembe au Mrembo kwa dunia. Hongera Jokate

Screenshot_20220912-122625_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom