Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na siku hizi Coca hata hunaga muda nao yaani.
Nimeona wengine wamekumention kwenye uzi wa watu wanaowachukia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikacheka kuwa hawa jamani,mbona wanatafuta ugomvi Kwa nguvu na mtu asiyetaka ugomvi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basis mie ndo roho kwatuuuuu, waendelee kunifuatilia zaidi, na nitawatesa sanaaaa. Sio shida zangu mie
 
Matani mengi siku hizi.
Kumenichangamsha kiasi chake..Sasa naweza kurudi mkoani.
Juzi niliona kigodoro Cha pili. Aisee zile ngoma zilivyokuwa zinapigwa nilitamani nijoin kukata mauno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigoma au kigodoro kinanogaa Temeke kuleee, aweeeeeh nshakumbuka buzaa kwa mama kibongeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaaáh
 
Kama umenielewa siendi kuandika uzi, sasa suala la ndoto... ngoja nikuhadithie tu, niliota nimekuambia nakupenda halafu ukanitukana sanaaa!! kuna mtu nikamuomba ushauri akasema hio ni kinyume, basi nikavaa mabomu kama al-qaeda, nikaja kujilipua tu litakolokuwa na liwe...
Ukiandika ntaelewa zaidi...na zaidi yapo ushindi wa 💷 utakufurahisha hata wewe kwahiyo mpango ubaki pale pale.😉

😆😆😆😆😆
Huyo mtabiri wa ndoto mwambie katisha sana kwa kuweza kukufanya uvae mabomu kwa matakwa yako mwenyewe 👊🏾👊🏾
 
Ukiandika ntaelewa zaidi...na zaidi yapo ushindi wa 💷 utakufurahisha hata wewe kwahiyo mpango ubaki pale pale.😉

😆😆😆😆😆
Huyo mtabiri wa ndoto mwambie katisha sana kwa kuweza kukufanya uvae mabomu kwa matakwa yako mwenyewe 👊🏾👊🏾
Lizzy hebu acha kunifanyia hivyo, ujue nitaandika kweli?

Salamu zimefika...
 
Back
Top Bottom