Selfika na JF: Snap it. Show it

Annie utakuja upigwe ila ntakutetea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

On a serious note though...huku kama Insta tu, wengine wanabaki kwenye uhalisia na wengine tuna-share vile vinavyofanya tuonekane tumo ila ni wale wale tu bana. πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ

Jiko langu la kuni ntakuonyesha kesho πŸ™‚
 
Siku Lizzy akichambana na mtu humu mniite mbwa,nimekaa paleπŸ‘‰πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
 
Yes!!! Kanianzishie uzi, nifurahi kabla ya kukupigia campaign ushinde hela alafu unigawie 😁😁😁😁

Ila asante sana kama kweli....I appreciate it!!☺️☺️☺️ Najua inawezekana maana hata mimi kuna watu wanapendaga tu basi πŸ™‚

Sasa tuhamie kwenye ndoto........πŸ€“πŸ€“
 
Baba Chanja umenikumbusha mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule dogo chuo alikuwa anamwita mwenzie hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chuo kuna vituko sanaaaa. Nimekumbuka kitu hapa, woiiiiiiiiih
 
Siku Lizzy akichambana na mtu humu mniite mbwa,nimekaa paleπŸ‘‰πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Shauri yako 😁
Ntakapomuomba Max aunganishe ID hii na ile korofi utaitwa 🐢 kweli na itabidi ukubali πŸ˜€πŸ˜€
 
Na ndio upendo unatakiwa.. Hiyo ndio upendo wenyewe sasa 🀠🀠🀠
 
Ccy huku mvua inayesha toka sa kumi na mbili......sijafika ofisini nipo ofisini kwa rfk anguView attachment 2348744 viatu vyangu vmechafuka vby nmezama kweny tope.....nmepewa hizo malapa na soksi...Leo nkifika ofisini boss atanitoa nduki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…