Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Teh maana ukijibiwa kinyume na matarajio yako bado utajilazimisha kwamba "Bwana amenionesha huyuhuyu".Ngoja tuombe.
Ila omba sasa hayo maombi kabla hujapata.
Usiende kuomba ukiwa tayari na mtu kichwani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app