National Anthem anthem wanawake hawajui jinsi wanaume wanavyojua kuigiza mapenzi, mwanaume anaweza kukuonyesha anakupenda lakini kichwani kwake ni yeye na Mungu tu kufahamu anakuwazia nini, tena hasa mwanaume mwenye kipato, anaweza kukunulia perfume kali, breakfast Zanzibar kama Dizasta Vina anavyosema kwenye nyimbo yake ya hatia namba 2, na still hakupendi, na hii ndio part huwa inawa confuse sana wanawake.. wengi wakidhani kununuliwa vitu vya thamani ndio love yenyewe...
Ushauri wangu get to know the guy before you jump in the sack with him, ata pretend ili apate sexual favors from you and when they accomplish that, they move on to their next female, be careful..
View attachment 2347763