Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Acha kabisa mamy!! Sasa bora hata ujue yupo Bi mkubwa awe amekuweka wazi hilo halina shida kabisa!! danganya danyanya zakitotoooo yaniiiii sijui anakua kakuonaje Hakyanani!!πŸ€”πŸ€”!

Mdomo komaa 😷 Hebu nikamalizie kupanda maharage yangu hapo nyuma mie T huku saivi tunapandaaa πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Danganya toto zinakera tena sana tu ..mtu awe clear jamani anataka nn na sio beating around the bush .

Kupotezeana tu muda , sema hivi yaishe . Kiukweli inauma victims wengi ni wanawake katika suala zima la mahusiano .
 
Hebu acha mawazo mabaya. Acha negativity. Saint Anne anasema kuwa na Imani. Yes huwa tunateleza, lakini tunajirudi.
Mnajirudi ila mwenzio unakua ushamjeruhiii vyakutoshaaaa kihisia / mapenzi yote kwako yanaishaaa yanakataa kabisaaa inabaki tu no way ni mume wangu sasa nifanyeje teenaaa wengine Ndiokwanzaaaa unakua nayeye nikama umefungulia mbwaaaa.. mioyo imetofautiana ohooooo
Mie Naenda kupanda vimaharage one time nitarudi
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Acha kabisa mamy!! Sasa bora hata ujue yupo Bi mkubwa awe amekuweka wazi hilo halina shida kabisa!! danganya danyanya zakitotoooo yaniiiii sijui anakua kakuonaje Hakyanani!!πŸ€”πŸ€”!

Mdomo komaa 😷 Hebu nikamalizie kupanda maharage yangu hapo nyuma mie T huku saivi tunapandaaa πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Viharage vizuri hasa yawe hajakauka utafurahi na utamu wake
 
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.

Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.

Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.

Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.

I love this.

So shall it be IJN......

#NotAllMen#
 
Screenshot_20220906-175513_Gallery.jpg

Kazi iliyotuleta duniani ni kama mwanamama hapo juu. Tuje tuzae kuijaza dunia.
 
Danganya toto zinakera tena sana tu ..mtu awe clear jamani anataka nn na sio beating around the bush .

Kupotezeana tu muda , sema hivi yaishe . Kiukweli inauma victims wengi ni wanawake katika suala zima la mahusiano .
Yeahhh.. weka wazi from the beginning ijulikane... sema sasa Wengi wetu hukofia kuweka wazi baabdhi ya mambo kwa warakataliwa au kutolewa nje! Kama muelewa atakuelewa tu japo kiukweli some truth hurts you know πŸ˜‰
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Acha kabisa mamy!! Sasa bora hata ujue yupo Bi mkubwa awe amekuweka wazi hilo halina shida kabisa!! danganya danyanya zakitotoooo yaniiiii sijui anakua kakuonaje Hakyanani!!πŸ€”πŸ€”!

Mdomo komaa 😷 Hebu nikamalizie kupanda maharage yangu hapo nyuma mie T huku saivi tunapandaaa πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Hongera bibie safi sana panda mwaya
 
Back
Top Bottom