Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuishi humohumo ausiooo!!
Wabheja sana!! Hii ni tofauti na kupangwa huku mtu anakudanganya ilhali unaona kabisa unadanganywaaa unabaki tu kujiuliza Kwahio huyu ananiona mie zuzuu amaa??
Aiseeehhh mahusiano ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ!!
Anakuona zuzu wa mwisho
Wewe unajichekelesha tu eti hello ,nimekumiss kwanza hajajibu hata .

Kumbe yupo main chick , huko wewe huyo wa hauna taarifa yoyote
 
๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”จ
Yani mtu unajua kabisa kuwa Antonnia anampenda mtu wangu kufa kuozaaa na evidence unazo kabisaaaa Siku ya siku anakwambia............. Nhiiiiiiiiiiiiiiii... watu kibao hawana pesa still they survive kweeeeeenndddraaa

Mdomo komaa๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ Tuendelee kuselfika
 
Screenshot_20220906_172745.jpg
 
Pesa hii mbaya
Mungu atusaidie
Bora ule ugali dagaa tu kuliko hayo
 
Saint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!

Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!![emoji6] note that!
It is the real life situation!
Sasa sijui ndio tamaa zenyewe sijui ndio nini.. Anajisemea Carrasco putin .mtajua wenyeweee
Kabisa na ukikubali lipo huwez pata stress
 
Back
Top Bottom