Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Kama jamii, tumefikaje huku tena jamani? 

















🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭Hii Nimecheka kama chizi T🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Mapenzi ni pasua kichwa
Leo mnapendana kesho hamuongei
Hapa pasipochafuta walai sijuii!! 😉
Uwiiii,Ujue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again
Note that pia!
Nipo Naendelea kusoma tena![]()

UongooooooNimeona nimeonaaaa Mdogo wangu umekorezwa kusawasawa ila safiii walau hata mabadiliko yanaonekana hata yale mabadiliko ya juu juuu tyu aisee au nasema uongo wapendwa wa Selfika???![]()
Uaminifu."Kwa wanaume imezidi"How ?? When where???
Can you clarify more pullliiizzzzzzzzzzzzzzz??
Nipo nanote hapa
yeah kwa wanawake tuna mambo mengi pia nadhani wao wanaume ndio wana majibu sahihi katika maproblee yetruuu wanawake!
Mungu akusaidie aiseeIla ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.
Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.
Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.
Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
WeweMtakula tu, ndege wa angani hawalimi wala nini ila wanaishi
😂😂😂😂😂😂!! Sikuhizi naona Umebadilika sana Anne!
Mimi nikishaombaMungu akusaidie aisee
Wanaume hawaeleweki ....muombee pia





Amen!!Uwiiii,
Ila Kuna kawimbo kanaimbwa
Nimepata asiyebadilikaa
Yesu asiyebadilikaa
Asiyebadilikaa ni Yesu pekeyake
Ni Yesu pekeyake asiyebadilikaa
Mwanadamu anaweza badilika muda wowote.
Ila kabla ya yote,nitamkabidhi mikononi mwa Mungu ...Yeye mwenyewe atajua namna ya kumuweka.
Kwa akili na ujaanja wangu siwezi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mm Nina Imani sana yaani nitapta kitu quality😂😂😂Ngoja tuombe.
Ila omba sasa hayo maombi kabla hujapata.
Usiende kuomba ukiwa tayari na mtu kichwani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Chaaaaah!! Sikuhizi naona Umebadilika sana Anne!
Glory be to God
Hallelujah!!







Amen maombi mazuri kuleta mtu sahihi.Mimi nikishaomba
Nasubiri tu mtu sasa
Mungu amlete.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Insha'AllahMm Nina Imani sana yaani nitapta kitu quality![]()
😊😊😊 Msema jamanj hata kama baby shower tulete mazawadi ya mapacha ma uncle zetu au sio mkuu Post M-alone yani hawa dada zetu wanafanya mambo kimya kimya tunashindwa hata show love😆😀😀 aah hapana walah
majukumu tuu yalijua kunikaba hii miez miwilii hapa Mungu mwema now kila kitu kinaenda vizur
Acha wanaopenda waendeele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭Hii Nimecheka kama chizi T🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
😅😅😅 Kwani ndege wanakaa wapiWewe
Tutalala wapi sasa?
Sasa hivi Kuna mserereko wa kukaa nyumbani bure.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
anaweza pretend to love you for a good five years, kumbe hujakutana na watu wanakunywa pombe, sigara na ganja kisa mapenzi eti?