raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,827
- 36,827
Heee hadi chumbani vinaingia duhVina vibe lake tu mkuu, nina enjoy asubuhi tukiamka vina makelele kimbia kimbia huku na huku basi mie roho yangu hapo inatulia kabisaaa, usiku nikilala navyo vinalala nina enjoy ukishakuwa single chronicle inabidi utafute furaha mbadala 😅😅😅 au unasemaje mod mwenzagu mzabzab