Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jeraha subiri lipone bado naliuguza!
Screenshot_20220905-225927.jpg
 
Lile boom kidogo lilikuwa linanipa nguvu.. Japo siku za mwanzo nilikuwa najihisi unyonge sana.
Na angalau akili inakuwa imekomaa kiasi.

Ila Sekondari Dah
Unawaacha wazazi unaingia mikononi mwa walimu wenye kila aina ya vitisho.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shule nlikua na mic mchux, yaan nlikua naona likizo iishe haraka.
 
Wale wajinga waliona fimbo ni sifa Dah!
Bora hata Olevel..A level ilikuwa kupigana kizembe kama ng'ombe Dah!Kufundisha chenga.
Nilitokea kuichukia shule...Hadi sasa nawaza sijui hata nilivuka vipi ile level

Hapo bado hujapambana na purukushani za Chakula.
Kula Kwa Foleni.
 
Pamoja na mateso yote yaliyokuwepo Shuleni ila bado nilikuwa navuta.
Siku niliyoenda kwa wakati shule ni 1 tu!Wakati naanza form1,Baba alinipeleka.
Alipoanza kuondoka nilimlilia sana.

Nje na hapo sijawahi kuwahi Shule.
wee ulitisha mnooo
 
Huku serikalini walitugeuza watoto wa watu ng'ombe.
Mimi Mungu anisaidie nisije kupeleka mtoto shule za kimasikini na zenye mateso.

Sema mimi angalau nilikuwa siteseki sana maana nilijiwahi mapema kuchukua kibali Cha ugonjwa..
Adhabu sifanyi na kazi nilikuwa sifanyi.

Siku moja nilienda Asubuhi ya siku shule masomo yanaanzaJ3.
Niliongozana na Shem wangu, Alikuwa Mwalimu pale..
Akawa ananiambia kuwa hawatawazingua kweli,nikasema sijui.

Zimepita siku2,mara Mkuu wa Shule amecharuka,anafukuza watu wakaite wazazi .Wale wote ambao hawakufika j2.
Fimbo zimepita,hapo mm nimechuchumaa pembeni,nashuhudia watu wanavyosulubiwa pale.
Na tunasubiri barua za kuondoka...
Alipofika shemejii akaja kunitoa,akasema huyu Mkuu aache upumbavu,nenda darasani.
Nimecheka mnooooo.
 
Ila alijua kuwatesa watoto wa watu.
Imagine mzazi anasafiri mkoa hadi mkoa Kwa kosa tu la mtoto kuchelewa siku moja!
Juzi kati hapo tuliskia ameshushwa cheo aisee...watu kama wachawi
Walishangilia balaa.

Wanasema kilichobaki hapa apate stress agongwe na gari afe


Kumbe hadi St nani Kuna mateso??
Ila Angalau wenzetu mtakuwa mlikuwa mnakula vizuri.
Sisi kuanzia kula ni mapambano kama uwanja wa vita.
Ukizembea hukuti chakula chako..Chakula Chenyewe sasa
Ugali kwa ndondo, afu ndondo enyewe lina top layer, bado hawajaweka mafuta ya taa kukata nyege.

sijutiii kusoma Gvt, full vitukoz.

Prepo ya usiku, ikiisha kuvamia mashamba ya shule kuvuna mazao na kuyala. Nmekumbuka vingi mnoooo.

Gvt school imenifunza na kunijenga haswaaaa.
 
Back
Top Bottom