Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh vizurikazipata ,tunampigisha story hp
Uji na hali ya hewa hii inakuwa poa sana .
Ooh vizurikazipata ,tunampigisha story hp
hahahaha,ulijuaje rafiki,karibu sanaOoh vizuri
Uji na hali ya hewa hii inakuwa poa sana .
Mpenda uji miehahahaha,ulijuaje rafiki,karibu sana
hahahahahahaMpenda uji mie
Nakunywa hata jua la saa saba 😂
Uji mzuri sanahahahahahaha
mtamu sana,tumepiga themos nzima,kesho inabidi apite tenaUji mzuri sana
Ooh vyema sana , mshakuwa wateja wake sasa .mtamu sana,tumepiga themos nzima,kesho inabidi apite tena
ewaa,ulezi kachanganya kdg na mtama,Ooh vyema sana , mshakuwa wateja wake sasa .
Itakuwa mtamu huo , ni wa ulezi au ?
Ooh ndo maana mzuri hivyoewaa,ulezi kachanganya kdg na mtama,
Inabidi tu kesho apite tena.unafaa wkt wa lindo
hahahaha,hy sasa keshoOoh ndo maana mzuri hivyo
Akujazie chupa kabisa , ukeshe nao
Ooh hayahahahaha,hy sasa kesho
Safiiii jirani
Vanilla kwenye juice haifaiEeh unapenda mapishi Kaka
Vanilla inatumika kwenye baked foods kama cake vile au ice cream kuongeza ladha .
😂 Babe's hiyo si kande kabisa!