Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Private za manyanyaso tena?
Au seminari.

Nilikuwa na backup..Alikuwa ananiokoa sana.
Akasema mzazi wako nishafika nenda darasani.
Maana hata ningerudi nyumbani bado ningeenda hukohuko Kwa Dada.

Mwalimu aliyetufukuza ananikuta darasani anakasirika ila cha kufanya hana.
Ndio Ile shule ni private tena St.nani
Ningejua ningeenda zangu tu Kisutu tu mie .
Hahaha mlipatia huyo mwalimu
 
Ndio Ile shule ni private tena St.nani
Ningejua ningeenda zangu tu Kisutu tu mie .
Hahaha mlipatia huyo mwalimu
Ila alijua kuwatesa watoto wa watu.
Imagine mzazi anasafiri mkoa hadi mkoa Kwa kosa tu la mtoto kuchelewa siku moja!
Juzi kati hapo tuliskia ameshushwa cheo aisee...watu kama wachawi🤣
Walishangilia balaa.

Wanasema kilichobaki hapa apate stress agongwe na gari afe🤣🤣🤣🤣

Kumbe hadi St nani Kuna mateso??
Ila Angalau wenzetu mtakuwa mlikuwa mnakula vizuri.
Sisi kuanzia kula ni mapambano kama uwanja wa vita.
Ukizembea hukuti chakula chako..Chakula Chenyewe sasa🤣🤣🤣🤣
 
Ila alijua kuwatesa watoto wa watu.
Imagine mzazi anasafiri mkoa hadi mkoa Kwa kiss tu la mtoto kuchelewa siku moja!
Juzi kati hapo tuliskia ameshushwa cheo aisee...watu kama wachawi🤣
Walishangilia balaa.

Wanasema kilichobaki hapa apate stress agongwe na gari afe🤣🤣🤣🤣

Kumbe hadi St nani Kuna mateso??
Ila Angalau wenzetu mtakuwa mlikuwa mnakula vizuri.
Sisi kuanzia kula ni mapambano kama uwanja wa vita.
Ukizembea hukuti chakula chako..Chakula Chenyewe sasa🤣🤣🤣🤣
Alikuwa kazini hadi leo kumbe ?
Huyo alijua kuwatesa watoto wa watu

Ile shule acha tu hata kula tulikuwa tunagombania na tunalipia hela . Chakula kibaya kweli .

Si private zote nzuri , mimi chakula kilinishinda nikalipiwa special diet hapo ndo wanafunzi wakaanza kunisema na kunichukia .

Nilikuwa spoiled Ile mbaya , naishi kama nipo nyumbani .
 
Watu wasio na uwezo bana hahaha
Wanachukia mwenzao kula vizuri!
Si wangekuwa chawa wako tu kazi inaisha.

Siku ya kwanza nimeenda hostel sikula.
Ilikuwa ni jioni,,chakula ni kande.
Kufika kesho nikakuta ugali na maharage.
Kumbe mzunguko ni huohuo masikini mimi.
 
Good Morning.
20220905_113154.jpg
 
Back
Top Bottom