Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utaua mapigo my saint na ulivyo hodari jikoni? Wanasema ukikuta mwanamke ni hodari jikoni na msafi basi jua hata kwa mchezo wa mapenzi ni hodari na msafi!
We jamaa kwa maneno ya kusifu mwanamke, yaani unaweza kukojoza mwanamke kwa maneno, unafeli wapi?

Mkuu siku njema...
 
Mkiwa mnazungumza story au kuchat mambo yenu hamuwezagi bila kumzungumzia mtu asiyehusika?? Mbna mna haha sana na mtu ambaye hata hawawazi nyie, mda wote mnazungumzia, hamna kazi za kufanya? Mipango yenu ya maisha jee? Mmeishiwa vya kujadili?

Muwage buzzy na mambo yenu, yasiyowahusu yatawaumiza vichwa bureee.
 
Sasa we si shoga kwani tusi?
 
Relax sous relaaaaaax
Tuendelee na stori zetu za secondary,,wasituchanganye Sxiewwww😂😂😂
 
FB_IMG_1662406177897.jpg
 
Back
Top Bottom