Pole Mungu akufanyie wepesi uponeeeHabari wanaselfika
Alhamisi nlipata mtihan kidogo barabarani nlipata ajali nlkua abiria kwenye bajaj mbaya zaidi nilikaa kwenye siti ya kiherehere
Nashukuru naendelea vizuri nlipata cut ya kioo uson na majeraha ya goti
Alamsiki
Kwahiyo niachane nae niendelee zangu kuangalia The Sandman....?🙄😳😔Usema kweli Lizzy anataka kama hii kidogo ungepata nafasi hata ya kuona sura yake na kusikia sauti yake.. sasa tufanyaje ndugu yangu na wewe una 20 mill tu 🥹🥹View attachment 2337786
😁😁😁😁 aaah! Mie sina usemi hapaKwahiyo niachane nae niendelee zangu kuangalia The Sandman....?🙄😳😔
Arusha sehemu gani mkuu?Arusha kuna wataalamu wana fanya modification inakuwa kama hizi. Nimeona watu waili Dar es Salaam wanazo na walizifanyia modification Arusha, ingawa sio harisi na OG kama hii.. kwenye jeep nayo ielewa ingawa ni parefu naishi kuziona yutube nii hiiView attachment 2337790
Kama nakuona vile,unavyodigidala baada ya kutoka kuogaYaaan npo hapa napiga umbea na mama, nimewakuta dagaa wabichi wamekaangwaa, nimewala bila ugali, nmeshibaa,
Kesho naenda manzese kuwazoa mwenyewe dumla, nawaala wee had baas, home raha sanaaa.
![]()

Dagaa now kama uchafuYaaan npo hapa napiga umbea na mama, nimewakuta dagaa wabichi wamekaangwaa, nimewala bila ugali, nmeshibaa,
Kesho naenda manzese kuwazoa mwenyewe dumla, nawaala wee had baas, home raha sanaaa.
![]()
Nitakuulizia kwa jamaa alafu nitakuambia ni sehemu gani wanafanyia hicho kitu. Arusha wanajitahidi sana kwa modification ya magari. Jeep wrangler ni nzuri sana, na adavantage ingine ya hizo gari naona ni imara sana hazina matatizo kama gari zingine, nadra kuyakuta garage.Aru
Sha sehemu gani mkuu?
Una jina biashata yao?
Japo mimi ni mpenzi wa jeep wrangler zaidi
National Anthem sio dalali bana!! He is just looking after my interest.😊Heeeeey! Basi tena nimeshindwa msije niuwa na presha mi mwenyewe naendesha ka vanguard! 🙌 Nimesalimu Lizzy huyu dalali wako National Anthem ananikomoa 160ml si robo ya mtaji huo? Nehi nehi! 🙆🏻♂️🏃
Umewahi kuona hata body yake kuu kuu mahsli?Nitakuulizia kwa jamaa alafu nitakuambia ni sehemu gani wanafanyia hicho kitu. Arusha wanajitahidi sana kwa modification ya magari. Jeep wrangler ni nzuri sana, na adavantage ingine ya hizo gari naona ni imara sana hazina matatizo kama gari zingine, nadra kuyakuta garage.
Muite aje hapa haraka sanaaaaa!!!!!Fanya kumwita arudie basi shoss akee !!







Lol mie na Umbea kus na kas shos angu hebu nitonyeee!!! Kuna mpyaa?? Nakuja tsup shostie usintanieeee![]()







nimekuulizaa wee unao, unipe mie eti jomoneeeee, lol
Kuna hawa jamaa wanajiita CAPITAL ZONE 4X4Nitakuulizia kwa jamaa alafu nitakuambia ni sehemu gani wanafanyia hicho kitu. Arusha wanajitahidi sana kwa modification ya magari. Jeep wrangler ni nzuri sana, na adavantage ingine ya hizo gari naona ni imara sana hazina matatizo kama gari zingine, nadra kuyakuta garage.
Hapana sijawai kukuta hizi gari juu ya mawe, hata garage nazopeleka gari sijawai kuta Jeep 😀😀 nakutaga brand karibia zote ila sio Jeep.Umewahi kuona hata body yake kuu kuu mahsli?
Kamwe huwezi kuiona gerege ikiwa imeachwa
Jeep hasa wrangler ni roho ya paka.Hapana sijawai kukuta hizi gari juu ya mawe, hata garage nazopeleka gari sijawai kuta Jeep 😀😀 nakutaga brand karibia zote ila sio Jeep.
Kama nakuona vile,unavyodigidala baada ya kutoka kuoga![]()






sijaoga wee baridi imeanza kuchapa tangu niko Njombe, nafika S/Tanga sina hali, natetemeka vibayaa.
Hapana sijawai kukuta hizi gari juu ya mawe, hata garage nazopeleka gari sijawai kuta Jeep 😀😀 nakutaga brand karibia zote ila sio Jeep.
Yaan mnoo dagaa wabichi na madafu wamejaaa mbweeeee, nimekuta mama amekaanga wengi, nimewalaaa wee bila ugali afu.Dagaa now kama uchafu
Mie siogagi kila sikusijaoga wee baridi imeanza kuchapa tangu niko Njombe, nafika S/Tanga sina hali, natetemeka vibayaa.
Hapa enyewe nimevaa trucksut na koti jingne juu, na nikifka kwa bed najifunika Duvet,
Nachat huku mikono inatetema, Songea kuna baridi woiiiiiiiih
,mwendo wa passport tu