National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
aaah! kile muhimu maisha yapo tu na kutafuta hakujawai kuisha mkuu 😁😁😁.. hapo umekitupa mmewekeana miguu juu ya mapaja mnaanza kuota ndoto za part 2We jamaa asee😅😅..wengine wanaamka saa kumi usiku kwenda kupambana
Cha asubuhi ni Kwa wenye uhakika wa maisha tu,au nasema uongo Chakorii ?





