Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

A630BD0A-C4F8-4000-A81C-426263E4E7AB.png
 
Hatari kwa wazee!🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽
Siyo kweli...

Hizi zinasaidia kuondosha mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu na kupunguza presha (na hivyo kuimarisha mfumo mzima wa mzunguko wa damu (cardiovascular system). Pamoja na zazibu nyekundu zinasaidia pia kulainisha mishipa ya damu iliyoanza kukakamaa.

Faida zingine ni za ziada na au zinahusiana na hizi 🖐🖐🖐
 
Wacha weeh!!
 
Back
Top Bottom