Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Si ndio ulikoamkia, unahesabiwa ndio jiandaena guest bubu wanakuja kutuhusebu kwani 😬😬
Si ndio ulikoamkia, unahesabiwa ndio jiandaena guest bubu wanakuja kutuhusebu kwani 😬😬
sitoki ndani watanionea wapi 😀😀Si ndio ulikoamkia, unahesabiwa ndio jiandae
WachaaaNje ndani
Mbele nyuma
![]()



@Saint Anne MwakasensaSaint Anne kuja hapa kenge wew tumewanyonya uloto ,, this is red devil
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni wa kushikwa mnataka fanya zoezi liwe gumu eeh 😵💫😵💫😵💫Leo nitaamka saa 8, wasinisumbue
Nimeumia mguu jana usiku, ni maumivuu
nitavishonea na nguo za mtoko eeh 😊😊Itakuwa vizuri niwe natoka nao ☺️
Usiku? Ukaumia mguu? Ulikuwa wapi? 😂Leo nitaamka saa 8, wasinisumbue
Nimeumia mguu jana usiku, ni maumivuu
🤣🤣🤣Wachaaa
Kumbe ndio inavyokuwa
Na hujawai kuniambia![]()
VochaUkiambiwa uchague pipi kijit na vocha unaeza chukua kipi
HeheheeNyie ni wa kushikwa mnataka fanya zoezi liwe gumu eeh 😵💫😵💫😵💫
Njoo nikuhesabu basiHehehee
Mbona haunipi poleUsiku? Ukaumia mguu? Ulikuwa wapi? 😂
Wapi nije, maana nataka kutoka na karani hajafika.Njoo nikuhesabu basi
Hujambo jirani, Pole sana jirani..Mbona haunipi pole
Kwahyo watu wanatakiwa waumie asbh na mchana tu au😂
Mimi ni salama jirani..
Achana na historia ongelea wakati uliopoRemember lkn jana nilivyokuwa namkanya Saint Anne 😅😂😂 Nilikuwa nahisi game litakuwa na matokeo yasiyo tarajiwa
Nyumbu mkubwa weee 😂🤣 ndio maana mlikuwa mnashika mkia
Natakiwa nielewe kwanza 😂 uliumiaje? Usikute wakishua umejigonga kidole kidogo mlangoniMbona haunipi pole
Kwahyo watu wanatakiwa waumie asbh na mchana tu au😂