Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe Mr vocha una lipss tramu hivooo??[emoji848][emoji848][emoji848] Jamaniiiiii!! Ungevua hio miwani sasaa!!
Kumbe Uko so handsome aririririririiiiiiiiiii!!
Wabheja sana mr vocha hakika Wiki Yangu imebarikiwaaaaa
sophy27 cocastic mmepitwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaisevu weee? Nionesheeee.
 
Mzima umeadimika ndio ulikuwa busy kumalizia ghetto lako😂😂😂😂msimu wa baridi kbla haujaisha🤣
Ah wapi bwana kuna varangati lilitokea na wife basi sii unajua tena lazima uweke mambo sawa. Shem ajambo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naye muweke humohumo tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] in cocastic voice!!
Kwani mr Vocha mwenyewe anasemaje??? Lovelovie mwenye kaka yake majibu tasavali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema usiitaje New York ukamshirikisha Alicia Keys, Kanye is the GOAT...Man U fans msiache kumwagia moyo...ipo hivi mimi man u akiipiga Arsenal, Liverpool na City Moyo wangu unasuuzika sana, yani hawa ni maadui wangu...Sema hii ngoma Fivio Foreign kaitendea haki, siwezi kuchagua mbabe ila kanye ni KANYE the GOAT
20220823_000202.jpg
 
Back
Top Bottom