Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Nitakuja kuweka tangazoNa leo holiday 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umenchekeshaaa
Ila sio hivyo bana, aah sikwambiii. Adi mwezi upite😂
Nitakuja kuweka tangazoNa leo holiday 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umenchekeshaaa
Ila sio hivyo bana, aah sikwambiii. Adi mwezi upite😂
Ohooo! Kulikoni tenaWengine tunahesabiwa hapa[emoji1545]View attachment 2332165
Unaumwa au unauguliwa?Wengine tunahesabiwa hapa[emoji1545]View attachment 2332165
KuuguzaOhooo! Kulikoni tena
Ooh kuuguliwa si mchezo. Apone mapema, InshaAllah!Nauguliwa dear,
Ahsante.
Polee nakuja kukuonaWengine tunahesabiwa hapa[emoji1545]View attachment 2332165
Ningekupeleka chimbo moja ilala ni konyooWazima humu ndani
Mnisaidie kulingana na hali ya tozo [emoji1787]kati ya vunjabei au Mr kadeti wapi nitapata suruali nzuri za kiume??
PoleWengine tunahesabiwa hapa[emoji1545]View attachment 2332165
Mh!pipi kijit ni mhimu sana ujueVocha
Makarani wamepita?Ndio nimeamka 🤸🏻♀️
Si unielekez JamaniNingekupeleka chimbo moja ilala ni konyoo
🤣🤣🤣Usiku? Ukaumia mguu? Ulikuwa wapi? 😂