Kanye Ni GOAT...GGMUWanasema usiitaje New York ukamshirikisha Alicia Keys, Kanye is the GOAT...Man U fans msiache kumwagia moyo...ipo hivi mimi man u akiipiga Arsenal, Liverpool na City Moyo wangu unasuuzika sana, yani hawa ni maadui wangu...Sema hii ngoma Fivio Foreign kaitendea haki, siwezi kuchagua mbabe ila kanye ni KANYE the GOATView attachment 2331739
Selfika wamelala mlongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa man u wamechachuka vibayaaa lol. Uwiiiiiiih.
Nacheka km chizi hapa. Uwiiiiih
Ebu tuone...!Karani washaanza kazi,hivyo tumefungulia mbwa[emoji23]
Atakoma
Sina bundle. Picha hazipostiki.Selfika wamelala mlongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sitaki kuhesabiwa hataKarani washaanza kazi,hivyo tumefungulia mbwa[emoji23]
Atakoma
Tanesco wamekata umeme[emoji23]Ebu tuone...!
Umetishaaa🤣🤣🤣Sina bundle. Picha hazipostiki.
Tupo pamoja[emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sitaki kuhesabiwa hata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahTanesco wamekata umeme[emoji23]View attachment 2331778
Tuma bundle hilo, uone picha zitakavo mwagika hapa, had utachoka wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selfika bana ujue selfie zako zimekua adimu sanaaa
Nlivo na gubu, karani wa Sensa mbna analoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo pamoja[emoji123]
Watagonga mageti mpaka[emoji16]
Inabidi ajipange,,,aulize kistaarabu[emoji23]Nlivo na gubu, karani wa Sensa mbna analoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atajutraaaa kunifahamu.Inabidi ajipange,,,aulize kistaarabu[emoji23]
Nawaonea huruma sana,,,,kuna baadhi ya raia wapo na dharau sana,nyumba zingine wanaweza wasifunguliwe mageti[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atajutraaaa kunifahamu.