Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 670
- 2,278
Njoo nkuchome sindanoCuzooooo!!! Upo km Dr.
![]()
Njoo nkuchome sindanoCuzooooo!!! Upo km Dr.
![]()
Nawaonea huruma sana,,,,kuna baadhi ya raia wapo na dharau sana,nyumba zingine wanaweza wasifunguliwe mageti
Wawe na subra tu![]()






kabisaaa yaan.Vocha tyuuh umeshindwa lol.Mtoto wa shangaz sema kwer!!!ntakupa pipi kijiti iwe mali yako milele yote
Ukuje sasanimemuonaaaa.
Ukiambiwa uchague pipi kijit na vocha unaeza chukua kipiVocha tyuuh umeshindwa lol.
kwani kaweka vigezo na mashart 😀😀Ndugu yangu
Mie pangu pakavu
Hiyo Astros siiwezi
Zangu kirikuu![]()
Remember lkn jana nilivyokuwa namkanya Saint Anne 😅😂😂 Nilikuwa nahisi game litakuwa na matokeo yasiyo tarajiwa
Ooh pole sanaAh wapi bwana kuna varangati lilitokea na wife basi sii unajua tena lazima uweke mambo sawa. Shem ajambo?
Nipo tayari nasubiri muda tuSafi kwema, kesho upo tayari kuhesabiwa?
na guest bubu wanakuja kutuhusebu kwani 😬😬
Kheeee leo si tar 23 August? Mbona picha ni ya August 24?
Nahisi madogo wamecheza na time settingsKheeee leo si tar 23 August? Mbona picha ni ya August 24?

Leo nitaamka saa 8, wasinisumbue