Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu Ronaldo naona anavaa viatu 😂😂😂
 
Mbona wanasukumana sana 😂😂😂😂 wote wamepagawa
Si manyumbu, wala livakuku
 
Safiii sanaaaa!! cocastic shos angu hongeraa mnoooo Nakumisije huku kipenziiiii!!
Abeeeeeeeeh shouzzzzzzzz!!!!!
Niko natengeneza mitamboooo fidodidoooo.

Chezea uhandisi weyeeeeeee, taaluma Imemfikia mlengwa.

Weraaaaaaaah. Nakumic mnoooo.
 
Back
Top Bottom