Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,144
Uko poa? Na unanilazimisha nikwambie pole .. sasa ya nn kama mtu uko poa 🤣
Uko poa? Na unanilazimisha nikwambie pole .. sasa ya nn kama mtu uko poa 🤣
Nikikwambia true story najua utanicheka sana sitakaa kwa amani mwez mzimaNatakiwa nielewe kwanza 😂 uliumiaje? Usikute wakishua umejigonga kidole kidogo mlangoni
Nimecheka kiumeee 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣Nikikwambia true story najua utanicheka sana sitakaa kwa amani mwez mzima
Ila nimeumia mguu mmoja, hapa nachechemea
Mdada mrembo una dimples nzuri ila roho ya gaidi🤣Uko poa? Na unanilazimisha nikwambie pole .. sasa ya nn kama mtu uko poa 🤣
Na leo holiday 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka kiumeee 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣
Na jana j3, na mnavyoipendaga na bwagamoyo wako 😂😂😂😂
Napata kastory flani hivi..
hapa hapa pa jana 😀😀Wapi nije, maana nataka kutoka na karani hajafika.
Waakikishe wanashiba vizuri maana vimbwanga watakavyo kutana navyo sio mchezoNdio tunafungua kinywa muda huuView attachment 2332102
Niteguke mguu tena😅hapa hapa pa jana 😀😀
Hutaki mazoezi 🤣🤣🤣 acha uvivu leo mazoezi madogo ttuuuNiteguke mguu tena😅
Badili venue nije unihesabu
Mazoezi sitakiiii😄Hutaki mazoezi 🤣🤣🤣 acha uvivu leo mazoezi madogo ttuuu
Kuleni tu ila mkifika kwangu mtagonga hadi mchanganyikiwe

Hapana chezea penzi jipya🤣🤣
tutakuhesabu kuwa mtu nusu 😀😀 tuje tusile hata chapati ya maziwa na maji 😬😬😬Kuleni tu ila mkifika kwangu mtagonga hadi mchanganyikiwe![]()
Ndio nimeamka 🤸🏻♀️Mdada mrembo una dimples nzuri ila roho ya gaidi🤣