Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Shimba ya Buyenze mtumie ccy Antonnia vocha plz
Hakiii sis kesho sijui kama nitatoboa nahutu tu mb!! Mr vocha akiweka fanya kunisevia voda hata ya buku sis!!Shimba ya Buyenze mtumie ccy Antonnia vocha plz
Me ningekua siogopi kwenda huko madukani ningeenda kukununulia hapo kati kuna ka grosery.....Ila naogopa wasenge wasije kupita na mim na nilivyo mwepesiHakiii sis kesho sijui kama nitatoboa nahutu tu mb!! Mr vocha akiweka fanya kunisevia voda hata ya buku sis!!
😂😂🤣🤣😂😂😂 Nimecheka sana sis!! Usiwaze kipenzi nitahangaika na vocha kesho mamy!😘😘😘Me ningekua siogopi kwenda huko madukani ningeenda kukununulia hapo kati kuna ka grosery.....Ila naogopa wasenge wasije kupita na mim na nilivyo mwepesi
Wacha weee!!! Vijana wanakwambia Hongeraa xana!zingine,tumezoea,hahahaha hp nilipo ninayo ya kichina
SawA ccy we lala me nipo hapa nasubili subilNimecheka sana sis!! Usiwaze kipenzi nitahangaika na vocha kesho mamy!
Barikiwa sana dear!
Haki vile sijui niimeze ipi sijui aisee maana sio kweli, wajumbe wajiimbishe bure nikasema "hataa kuna kitu" kumbe kweli bhana hakika niseme mwenye Mali anafaidi!!Katibu nijazeee nijazeee tyu wee nijazeee Hustler one !!
Wee nijazeee tu katibu!!😉😉!!Haki vile sijui niimeze ipi sijui aisee maana sio kweli, wajumbe wajiimbishe bure nikasema "hataa kuna kitu" kumbe kweli bhana hakika niseme mwenye Mali anafaidi!!
Nikutakie usiku mwema mwenyekiti, ngoja nikuage kidogo na hii hapa baada ya miaka Saba mbele kupita ile ya ujananiWee nijazeee tu katibu!!😉😉!!
Nitamtumia kwa njia gani sasa? Njia pekee kwa hapa nilipo ni kupitia muamala wa ama Mpesa au Airtel money.Shimba ya Buyenze mtumie ccy Antonnia vocha plz
Sauwaaa katibu Nibless namie nimarare katibu !!Nikutakie usiku mwema mwenyekiti, ngoja nikuage kidogo na hii hapa baada ya miaka Saba mbele kupita ile ya ujanani
Upo mwenyekiti itaniambia nimezeeka kiasi gani😂😂😂 Safiii sanaaaa!! cocastic shos angu hongeraa mnoooo Nakumisije huku kipenziiiii!!
Asante msukuma nisiwasumbue sana kesho nitakomaa kupata vocha wapendwa wangu nashukuru Sana na mbarikiwe sanaa !Nitamtumia kwa njia gani sasa? Njia pekee kwa hapa nilipo ni kupitia muamala wa ama Mpesa au Airtel money.
Nipoo katibu... Tupia 😘Upo mwenyekiti itaniambia nimezeeka kiasi gani