Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Huku Amani imetawala kbs mkuuKwema kamanda! Amani kabisa mkuu wangu ? Habari ya weekend ?
Huku Amani imetawala kbs mkuuKwema kamanda! Amani kabisa mkuu wangu ? Habari ya weekend ?
Emu acha bange 🤣🤣Sina hela halafu nacheka kama Bakhresa,,ni matumizi mabaya ya kicheko🤣🤣🤣
Naangua kicheko unakuta wengine wanacheka sababu ya kicheko ulichokiangua.
Na uendelee kutokujua 🙂Wameru wanakuwaga wakorofi Sana sijui Kwa nn..
Tupe walau vionjo vyake Mjukuu, sisi Wazee tumeshauriwa tuwe tunafurahi kuongeza siku za kuishi 🙊Kuna video moja ya sensa nimeiona Nimecheka sana! Watu wanavituko sana !!
Mimi nikikumbuka vicheko vyangu Kwenye vunues zenye maelfu ya watu pale Udom akiyanani nacheka Tena😂🤣🤣🤣🤣🤣hii komesha!!
Nimecheka kibwegemtozeni
Kuna vitu / watu vinachekesha sana Jamani tucheke tu kwanza kucheka ni afyaaa!!
Mtu masaa yote ukaekisa nini !!
Mkuu niuzie hivi viatu..nipo kigamboni chekechea hapa😄


Chumbani kwa shemela napaheshimu sana Huyo tumeambiwa wa sis Antonnia na kibanda cha vocha keshakabidhiwaa. So tukae kwa kutulia
Ahsante mdogo wanguNimekuja nimekujaaa kaka mkubwaakwanza heshima yakoooo kakaa
Pili miss uu mbaya mbovuuu!!
Ukianza kuelezea Vita vya Maji Maji utasema 1905-1907 ulikuwepo 😂Na kumbukumbu 😂😂😂
NdiwoooooKwetu nimefundishwa kumpiga mwanamke kitandani na mjegeja😄,siyo makonde mwishowe tutiane ulemavu
Kupigana siyo poa eti
Yaaani nilikuwa muanzisha vicheko..watu wanacheka Kwa namna ninavyochekaEmu acha bange 🤣🤣
We mchochezi mdogo wangu 😂😂😂😂😂
Nipo kakaa popcorn kama zoteee! ngoja nimstue na sis Antonnia kabisaAhsante mdogo wangu
Kaa hapa hapa usitokeee
Maana mzigo unapanda wa kutosha
Tafuta na popcorn za jero hapo🤣🤣
Amechanganya mie ni semeji buana mwenye mali Mamaa mwenye Shepu lakee la kuombea mkopo !! Mamaa wa kibanda cha vocha mamaa asie na makuu mamaa mpole Antony Nyampua 😎We mchochezi mdogo wangu 😂😂😂😂😂
EbuWee ngosha Vocha zikiwekwa nistue!
Nawewe uweke picha sasa tatizo mie sipendi makelele . Hilo tu.
Mdogo wangu na wewe upambe kumbe unauweza ngoja aje mwenyewe upambane naye 😂😂😂😂Amechanganya mie ni semeji buana mwenye mali Mamaa mwenye Shepu lakee la kuombea mkopo !! Mamaa wa kibanda cha vocha mamaa asie na makuu mamaa mpole Antony Nyampua 😎
Nauweza kwani kidogo !! Shusha vituu shusha vituu kakaaMdogo wangu na wewe upambe kumbe unauweza ngoja aje mwenyewe upambane naye 😂😂😂😂