Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220819_133428_275.jpg

Uzee huu, Ngoja tuendelee kuota Jua kabla Wajukuu hawajatuingiza ndani 🤪🤪

Good Evening 🌆
 
Yaaani nilikuwa muanzisha vicheko..watu wanacheka Kwa namna ninavyocheka
Akiyanani katika kitu siwezi kujizuia basi ni kicheko na kilio.


Kicheko Cha matajiri na wenye kazi sijui nitacheka mbele ya Safari huko.


Siku moja boss alipokea simu,,yale maongezi yalikuwa yanachekesha japo ya vitu serious...Mimi kama kawaida mtoto wa watu nikajiachamia🤣🤣🤣🤣
Mimi ED wetu sina kumbukumbu kama ashawahi niona nacheka 😂
Labda nitabasamu tu
Kucheka sana labda nikiwa na mashost

Wanyaki na suala la kulia 🙌 mnajumudu sanaaa
 
Back
Top Bottom