😂😂 emu njoo tuangalie hawa wababa wa mielekaKutaja taja watu watajiuma ulimi ujue
Wapi huko didi ake😂😂 emu njoo tuangalie hawa wababa wa mieleka
WWE 😂Wapi huko didi ake
Unapenda michezo ya kiume kwann lakini😂WWE 😂
Ya kike inazingua 🤸🏻♀️Unapenda michezo ya kiume kwann lakini😂
Salama kabisa sijui ww dearPoa Love
Habari ya j2
Hi ccyNawasalimu kwa jina la Selfika wapendwa.[emoji113]
Ni gudPoa Love, niaje?
Lijendiiiiiiiii
Lejend wapi 🤣 mwizi tu huyoLijendiiiiiiiii
Sina hela halafu nacheka kama Bakhresa,,ni matumizi mabaya ya kicheko🤣🤣🤣😂 banaaaa
Emu jifunzeni kucheka kitajirii 🤣
Kwetu nimefundishwa kumpiga mwanamke kitandani na mjegeja😄,siyo makonde mwishowe tutiane ulemavuHakika wewe ni mmoja kati ya wale wanaume wachache waliobarikiwa
Nimekuja nimekujaaa kaka mkubwaa[emoji125] kwanza heshima yakoooo kakaa [emoji113]
Wameru wanakuwaga wakorofi Sana sijui Kwa nn..Unidunde mie kwani kitenesi?