Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nikikumbuka vicheko vyangu Kwenye vunues zenye maelfu ya watu pale Udom akiyanani nacheka Tena[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna dada nilikuwa nakaa naye ibadani,yaani akicheka na mimi nacheka Kwa sababu ya kicheko chake.
Nikicheka namchekesha Tena,akicheka watu wote wanaanza kucheka kwa vicheko vyetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunasinga mbele na vicheko kama injili.

Yaani huko Whatsapp nikikutana naye nivicheko Kwa kwenda mbele kama mambumbumbu hivi .


Na vile kujibana siwezi yaani unakuta nimeachama hadi mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sentensi ya mwisho

Imenichekesha
 
Back
Top Bottom