Hapa Tunachitchat tu burooo usichukulie siriazi 😎! Limekuingia??????Leo wanawake wa selfika sijui mmekula nn..mna kisirani hatari😅😅..Mdomo wa kike tena!!!?
AmenTo all the people with good heart,
One day you will get,what you deserve,[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mm napigika sasa 😂😂 ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia 🏃♀️Utakuja kudundwa hiko kiemoji chako ohoo😂😂
Poleni sanaNilikua msibani nimekuja kuitika wito wenu Ndugu zangu asanteni sana ngoja nirudi msibani!
Apumzike anakostahili bwana Augustino !
WifiHebu kwanza; Ambae hajaolewa anyooshe mkono juu kwanza ukute Ndiomana makelele yamezidi humu!![emoji41][emoji113]
MamboMm napigika sasa [emoji23][emoji23] ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia [emoji2088]
Unaambiwa "Uzee kmnina sana"Poleni sana
Humu Mnapotea sana wifi !! Panapoa panapoa tena hadi panaboa sikuhizi!!Wifi
MamboUtakuja kudundwa hiko kiemoji chako ohoo[emoji23][emoji23]
Ni ubize tu wizoohHumu Mnapotea sana wifi !! Panapoa panapoa tena hadi panaboa sikuhizi!!
Unajiamini sana eeh🤣Mm napigika sasa 😂😂 ? Labda waje na moto wanichome, na hapo sijui nitakuwa nimeweka wapi miguu ya kukimbia 🏃♀️
tag location watu wateleze hapo!!😎Hapa imekosekana PISI tuu, mliopo Dodoma karibuni tumwagilie moyoView attachment 2330251
Poa LoveMambo
Vizuri wifii ukizingatia maisha yenyewe yanakaba kinoma!!Ni ubize tu wizooh
Shoss angu wewe teinaaaaaaaaaa!😘😘😘[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hebu ongea na boss afanye mpango, nataka bundle la monsiii.
Uwiiiih. Mic u xaan shouzzzzz.