Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Haswaaaaah, sina mambo mengi.
Haswaaaaah, sina mambo mengi.
Selfika.Si Kama tulivyoongea madam?
Au unamaanisha niselfike?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sawa Mimi takataka..Heeee!! Yan kumwambia mtu aweke picha waita kisirani?
Emuu 🚮🚮
Siselfiki ng’odo🤣🤣
Huyo mzee tangu afunge ile ndoa watu walikua wanamuhesabia siku tu!Inauma Sana mtu unakufa alafu mkeo wahuni wanamplelekea Moto huku duniani,tena staili zingine za hovyo ambazo wewe ulikuwa umfanyi😭..Inauma Sana😭
Hahaha ni mtazamo wa mtu uheshimiwe.Ahahah huyo mrembo sijui anawaza nn
Chakorii nimekumisi Sana..kwema?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Leo wanawake wa selfika sijui mmekula nn..mna kisirani hatari😅😅..Mdomo wa kike tena!!!?Ndio nimeiona hapo saivi
Wenawe usiwe na mdomo wakike hivo wee mwanaume ujue!!!!
Kwahio ningeiona na nikuulize ili nigundue nini???!!!!
Niko poa sana madamHahaha ni mtazamo wa mtu uheshimiwe.
Nimekumiss pia.
Kwema kabisa habari za majukumu
🥰🥰🥰🥰🥰
Wee ngosha Vocha zikiwekwa nistue!Ajabu sasa
Yeye pia kapotea
Sijui nae kazuiwa
Hpn maisha Tu..Kwanza mazoezi nimeacha🥰🥰🥰🥰🥰
Mbona umeppungua kiaina..unafanya mazoezi nini
Ahahha Sawa banaSiselfiki ng’odo🤣🤣
Vyema sana..Niko poa sana madam
😭😭😭 Usinifanyie hivyo banaVyema sana..
Ile kitu naona kiwingu wingu best mambo yameshaingiliana tena🥲
Utakuja kudundwa hiko kiemoji chako ohoo😂😂
Kwanini umeacha mazoeziHpn maisha Tu..Kwanza mazoezi nimeacha
Kweli tena si kupenda kwangu lakini😭😭😭 Usinifanyie hivyo bana