Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Marahaba young bro.Mkuu hbr yako..shikamoo
Ibada njema (nimekuona hapo juu umetia pamba kali za kuendea church)
Marahaba young bro.Mkuu hbr yako..shikamoo
Mawardat ana mawazo ya ajabu Sana😅From nowhere
Naanza kupekenyua simu
Ndio kusema ukiwa na App ya JF
Umakuwa mwanamke na sio Mke![]()
Exactly mkuu..Wiki nzima pilika pilika,leo tunajisalimisha Kwa MUNGU kwenda kutoa shukrani Kwa zawadi ya afya njema na huu uzimaMarahaba young bro.
Ibada njema (nimekuona hapo juu umetia pamba kali za kuendea church)
Ni Nani huyu mkuu?Rip mzee wa Kirachacha![]()
Ni Nani huyu mkuuRip mzee wa Kirachacha![]()
Apumzike kwa amani🙏
Uhali gani Satoh Hirosh ?Lenie nakusalimia Sana mrembo
Naziona like zako kisha unapita kimya kimya
Nakupinga.Wewe upo mtandaoni Kama hivi,unataka Kusema kwamba haufai kuwa mke just because upo online..yaani wake /mke anapatikana kijijini kusikko na jf? Not true
Kwanza sasa hivi kuoa/kuolewa ni kubeti maana hakuna wa kijijini wala wa mjini,wote wamebadilika,wote wameathirika na utandawazi,wote wanajua michezo michafu
Wa zamani siyo wa sasa mrembo!!!
Mawardat ana mawazo ya ajabu Sana
Anachoshidwa kujua ni kwamba Zama hizi mitandao ya kijamii ni sehemu ya maisha yetu.Hao wa vijijini Wana Facebook na kama kutongozana wanatongozana Sana Tu..akili kunkichwa



jichanganye tuIle ndoa
Apumzike Kwa Amani 😭
Mambo ya historia za ukooNakupinga.
Ndio nipo mtandaoni na ninafaa kuwa mke,
Lkn mitandaoni wengi ni waigizaji ndugu ukijichanganya utajiona mkosaji kila siku,
Wema wapo na wabaya ni wengi sana humu mitandaoni,,
Hivyo,oa olewa na mtu ambae unajua historia yake na ukoo wake,
Mambo ya historia za ukoo
Ni urasimu usio na tija
Nafsi zikisuhubiana mnatangaza nia
Kisha mnaunganisha horse na trailer


sawa bana,

Mimi mzima sn madam lenieUhali gani Satoh Hirosh ?
Ulimisika hapa kijana


Ajabu sasaMimi mzima sn madam lenie
Sasa tutakuwa pamoja,nilikuwa bize kidogo,Ingawa kuna mtu huko juu alisema wengine timekatazwa kuingia jf tumeshapata wachumba.. Surbi MUNGU anakuona![]()