Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Umejificha sana mjombaaa!!
Naona wala maisha sehemu tuliiivu kabisa mjomba wangu enjoy bana maisha ndio hayahaya!! ✌️✌️
Umejificha sana mjombaaa!!
Ugonjwa wangu huu nishapamis dsm [emoji846]View attachment 2329291
Elimu haina mwisho, Wacha tujifunze kuogelea [emoji474].
Guys it's weekend [emoji1635]
Mkuu Eeeh shida nini tena?Hapo zamani hadithi hadithi zamani za kale kulikuwa na babu na bibi 😀😀😳 kama you know unajua tuuuView attachment 2329128
Si ujibu hapo🤣
Itakuwa zawadi kamnunilia shem, we unahisi nini?
Sijibu… kila mtu ajiwazie atakacho 😂😂Si ujibu hapo🤣
Kuna nini jamani?Si ujibu hapo🤣
Mnatuletea taharuki mjue, bana sisi tutaweka konklushen zetu mtuone wabaya bureSijibu… kila mtu ajiwazie atakacho 😂😂
Hamna hata, itakua mambo yao hao.Kuna nini jamani?
Mi niliuliza nikijua amepata skin rashes thats why ana vaseline...
Kikubwa uhai😃[emoji174]View attachment 2329424
Lenie shemeji kwa depal nadhani unamfahamu niletee proforma invoice ya coconut oil na vaseline...
Zingine mbwembwe tu[emoji23]Kikubwa uhai[emoji2]
NdiwoooZingine mbwembwe tu[emoji23]
Pole sana tulio single wengi...[emoji174]View attachment 2329424
Nataka nimpe zawadi shem wetu kwa Depal wajipake, kiangazi hiki ujue...Shem coconut oil n vaseline vya matumizi gani
Mwenzangu weeh nishashindilia ugali mbwa aruki[emoji23]Pole sana tulio single wengi...