Marahaba mdogo wangu SurbiKaka Mjep Shikamoo π!! Nakusabahi kwa jina la vocha ya voda kakaa!!
Eti unataka kuninyima nini anauliza T 1990 ELY usiku zimepanda vocha kama za elf 20 hivi sijui ulijificha wapi?
Marahaba mdogo wangu SurbiKaka Mjep Shikamoo π!! Nakusabahi kwa jina la vocha ya voda kakaa!!
Nimechelewa aiseWapi Antonnia Carrasco putin Kelsea Lovelovie sophy27 Heaven Sent Tayana-wog Surbi cocastic Lizzy myoyambendi Tinsley vocha hazina wenyewe huku mkuje jamanii!
Mambo mengi kakangu na uchoyo wako ukaona ukiniita nitafaidi!!??? Haya Namie naomba voda au ndio ishatoka ikirudi pancha!!!??Marahaba mdogo wangu Surbi
Eti unataka kuninyima nini anauliza T 1990 ELY usiku zimepanda vocha kama za elf 20 hivi sijui ulijificha wapi?
Mida ya vocha baadaye sasa hivi tuko site tunachapa kaziMambo mengi kakangu na uchoyo wako ukaona ukiniita nitafaidi!!??? Haya Namie naomba voda au ndio ishatoka ikirudi pancha!!!??
Naona jana watu waliogelea mivocha kwa raha zao!!Nimechelewa aise
Mambo ya LJ, matipo yake.Unahusu nini? ππ
π π j3 ama j4 dear?@Depal subiri j,3![]()
Dahhhh!! Hapa wacha nikafie mbele sasa . Badae kiweka naomba unistue namie Wenawe!Mida ya vocha baadaye sasa hivi tuko site tunachapa kazi
π€£π€£π€£ LjjjjjjjjMambo ya LJ, matipo yake.
Uzi ni wa kitambo, kuna mtu alifukua kaburi.
Unachekesha, nikiuona nitakutag tukacheke tuongeze siku za kuishi
Aaah ikawaje sikuwaza hivo?π€£π€£π€£π€£π€£ Ljjjjjjjj
Angalia kwenye history bana, utaona
Oooooh mwenzangu nilijua ni j,3j3 ama j4 dear?

Wee ingekuwa j3 watu tungesheherekea sana, ni kupumzika tuOooooh mwenzangu nilijua ni j,3
Maana naisubiri kwa hamu![]()
Ntaweka braza....Marahaba cute braza π€£
Mambo zako? Emu kwanza selfika
ππ chap mwendo wa ngiri jikeAaah ikawaje sikuwaza hivo?π€£π€£
Em ngoja nicheki
Aisee nomasana walienjoyNaona jana watu waliogelea mivocha kwa raha zao!!
Itakuwa ndio zile biti
Zilisemwa na Surbi[/
[/QUOTE]
πππππππ
Ngosha usinikumbushe ππππππ
Ukinionea bro Mandingo [USER=118564]ERoni mwambie namtafuta sana!![/USER]