Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bweni la high school. Shule ya wasichana. Kila mtu na kachumba kake. Wanakaa wawili wawili tuvyumba tumetazamana. Wanashea choo, jiko, bafu na sebule.

Jikoni wana friji, microwave na jiko. Hawaruhusiwi kujipikia isipokuwa tu vitu vidogo vidogo (chai, mayai...)

Tumekumbatiana
Tumelia
Tukaagana
Mungu ni mwema

Misungwi here we come!

View attachment 2328301View attachment 2328302View attachment 2328306
Hata hostel za chuo hazifikii, yaan hapo kitabu kinapigika haswaah.

Masomo mema to she.
 
FB_IMG_16609261407687270.jpg
 
Back
Top Bottom