National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
tupige road trip sasa hivi naelekea mwanza 😀😀😀 natokea manzeseKama vipi ilete kwa miguu 😂
Nitakupatia na mengine ya 💇♂️
Sema we hapo sio mtumiaji kabisa,. Inaonyesha
tupige road trip sasa hivi naelekea mwanza 😀😀😀 natokea manzeseKama vipi ilete kwa miguu 😂
Nitakupatia na mengine ya 💇♂️
Sema we hapo sio mtumiaji kabisa,. Inaonyesha
Kakichwa kadogo lazima uogelee humo linakua kama puto!!😄😄Kumekucha 😂😂😂
Kichwa km Pera Tena View attachment 2329212
Natumai umepata mwongozo...😂😂 chap mwendo wa ngiri jike
Ni kweli,hapa nilikuwa napigia j,3Wee ingekuwa j3 watu tungesheherekea sana, ni kupumzika tu
😄😄😄 wasalimiee Malaika aisee,, nimelimiss mno ilo jiji…tupige road trip sasa hivi naelekea mwanza 😀😀😀 natokea manzese
Nimechekaaa 😂😂😂😂Natumai umepata mwongozo...
I'm afraid hujawahi kuwa na hisia we kiumbe, hua unaniogopesha ata mie didi ake😂😂Hata Lenie anajua 🤣🤣View attachment 2329210
Nimetulia hapa napitia vizuri😂😂Nimechekaaa 😂😂😂😂
Yan ni unachekaaaa
Afu una 🚮🚮
Fake promises 🚮Ntaweka braza....
😂😂😂 hisia kwa watu wenye akili na ninao wakubali ninazo bwana 🤣🤣I'm afraid hujawahi kuwa na hisia we kiumbe, hua unaniogopesha ata mie didi ake😂😂
😂😂😂 uone mwamba senior wa Lj anavyoupiga mwingiNimetulia hapa napitia vizuri😂😂
😂😂😂😂 zipo zipo😂😂😂 hisia kwa watu wenye akili na ninao wakubali ninazo bwana 🤣🤣
Tukio gani lilikuogopesha? 🤣🤣
Hatari🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂 uone mwamba senior wa Lj anavyoupiga mwingi
😂😂😅😂😂😂😂😂 zipo zipo
Wee tukio nitakupa inbox
Nipo Mkuu, shughuli za Kilimo zimefanya nipotee kiasi 🙊Nimekumiss
Miss you more kipenzi!!Miss you madam ❤️
presseeeeeeeeeeeeeeeeennnttttt ✋✋!!Wapi Antonnia Carrasco putin Kelsea Lovelovie sophy27 Heaven Sent Tayana-wog Surbi cocastic Lizzy myoyambendi Tinsley vocha hazina wenyewe huku mkuje jamanii!
Nipoo kipenzi Miss you more!!