Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
🚮🚮Ndio maana unaitumia sana ili isitoke kwenye recentlly used
🚮🚮Ndio maana unaitumia sana ili isitoke kwenye recentlly used
Safi mkuu, kama usalama upo haina shida...😀😀😀😀😀 hamna shida mkuu wangu! Salama lakini
Unakua ka DT ujue
Afadhali unajua kupika.. hutosumbua mtoto wa mama mkwe….
Asubutuuu 🤣🤣Unakua ka DT ujue
Watu mnaokaa bush shida tupu 😂Nilikua sijakiona🤣🤣
Kwetu joto
🤣🤣🤣🤣🤣Asubutuuu 🤣🤣
Yan ile machine iwe kama mie 🚮 si mama atanichapa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 si ataniua jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Tena na fimbo ya chuma
Em nipishe🤣🤣Watu mnaokaa bush shida tupu 😂
Afisa manunuzi Lenie atamaliza kazi... National Anthem atazipost kwa shem wetu, utazikuta huko...Roughly budget niwape? Au unamngoja afisa manunuzi wako?
Sikupishi🤣🤣 ukitaka ruka uangukeEm nipishe🤣🤣
Nataka wenzangu na sisi wa hiyo mikoa ambao nao kupika chenga ili tubalance.Afadhali unajua kupika.. hutosumbua mtoto wa mama mkwe….
Ndio ujue madhara ya uDT yalivyo🤣🤣🤣 si ataniua jamani
🤣🤣🤣🤣Sikupishi🤣🤣 ukitaka ruka uanguke
Mwanaume anaingia jikoni anakutolea roast, we tokea uzaliwe hujawahi hata kuliotoea 😂😂😂😂Nataka wenzangu na sisi wa hiyo mikoa ambao nao kupika chenga ili tubalance.
Watu wa pwani na huko Tanga sitaki..watanidhalilisha.
Imeisha hiyooAfisa manunuzi Lenie atamaliza kazi... National Anthem atazipost kwa shem wetu, utazikuta huko...
Huyo sitaki hata kumsikia..nitadhalilikaMwanaume anaingia jikoni anakutolea roast, we tokea uzaliwe hujawahi hata kuliotoea![]()







Mambo mazuri kabisa mkuu..😋😋😋 hapa naondoa wenge la usingizi View attachment 2329442