myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
🤣🤣Hao ndio wezi wa kuku kitaa nakuambia![]()
🤣🤣Hao ndio wezi wa kuku kitaa nakuambia![]()
Ndio uje kututangaza tumekopa kwako, hatutakiii😂😂
Salama kabisaWapi Antonnia Carrasco putin Kelsea Lovelovie sophy27 Heaven Sent Tayana-wog Surbi cocastic Lizzy myoyambendi Tinsley vocha hazina wenyewe huku mkuje jamanii!
Duh..
Sawa kabisa jirani, hujambo jiraniAf nitawasiliana vipi na jirani yangu myoyambendi
Akuuuuu siuzi, hela ipo siku ndoto zitatimia nitaokota
Kumekucha salama jirani, kwenu hamjambomyoyambendi jirani gud morning
Sijambo jirani, umeamkaje hukoSawa kabisa jirani, hujambo jirani
Kwahiyo mmepanga wote muwachunie wakigonga🤣🤣Can’t wait makarani wa sensa watavyogonga lile geti letu na asiende mtu kufungua 🤣🤣🤣🤣
Shida ninayo ila sio kiviiile😂😂Huna shida wewe 🤣🤣
Afu sina hakika kama ndio niko karibu ma DT hivyo
Wazungu wanasemaga ladies firstEmu selfika, wachana na habari zetu
Kwa hyo mnataka kuigomea serikali?Can’t wait makarani wa sensa watavyogonga lile geti letu na asiende mtu kufungua 🤣🤣🤣🤣
Najiuliza tu lile gate linavyokuwa limefungwa muda wote .. nani ataenda fungua?Kwa hyo mnataka kuigomea serikali?
Wazungu waongoWazungu wanasemaga ladies first
Hiyo siku unikate kidole 🤣Shida ninayo ila sio kiviiile😂😂
Yaaani hiyo siku ndio utakua senior DT
🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo siku unikate kidole 🤣
Kazaneni 😃😃 week inakaribia kwisha
😅😅😅 possiblyKwahiyo mmepanga wote muwachunie wakigonga🤣🤣
Unahusu nini? 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Af kuna uzi niliuona juzi badae nautafuta siuoni nataka nikutag.
Nikitulia nitausaka tena
Tunapambana
Hapo zamani hadithi hadithi zamani za kale kulikuwa na babu na bibi 😀😀😳 kama you know unajua tuuu😅😅😅 possibly