😀😀😀😀😀 hamna shida mkuu wangu! Salama lakiniMkuu Eeeh shida nini tena?
😃😃😃😃 Sio pale manyara😄😄😄 wasalimiee Malaika aisee,, nimelimiss mno ilo jiji…
Kwenye kitabu changu cha madeni naona road trip iliyopo ni ya Magoroto, kama sio Migombani huko
Safi ...Na kiangazi kinavyojua kupausha ngozi ni balaa, utakua umefanya jambo jema sana.
Nitatuma profoma mapema kabisa.
Depal ukuje utoe shukrani in advance
Ukiweka conclusion zako me naku 🚮 🤣🤣🤣Mnatuletea taharuki mjue, bana sisi tutaweka konklushen zetu mtuone wabaya bure
Ukifika unakoenda upokeee 📱 fyuu 😂😂😂😃😃😃😃 Sio pale manyara
Af aliyekufundisha kutumia hyo emoji ya kidustbin tutajutaUkiweka conclusion zako me naku 🚮 🤣🤣🤣
Sina hata muda wa kukuona m’baya
Hiki kipupwe hukioni 😂😂😂Shem coconut oil n vaseline vya matumizi gani
TugeeRoughly budget niwape? Au unamngoja afisa manunuzi wako?
😋😋😋 hapa naondoa wenge la usingiziUkifika unakoenda upokeee 📱 fyuu 😂😂😂
Sana, hanaga baya na mtuSafi ...
Ndioo Depal ana roho nzuri...
😂😂 sawa coffee masta😋😋😋 hapa naondoa wenge la usingizi View attachment 2329442
Ukipata mpenzi wa kukubembeleza kula, si ajabu utashindilia ugali ngamia hakatizi...Mwenzangu weeh nishashindilia ugali mbwa aruki![]()
🚮🚮Af aliyekufundisha kutumia hyo emoji ya kidustbin tutajuta
Almost 50k hivi..Tugee
Nilikua sijakiona🤣🤣Hiki kipupwe hukioni 😂😂😂
Ndio maana unaitumia sana ili isitoke kwenye recentlly used🚮🚮
naitumiaga tu mbona
Sema iko mbali, naonaga uvivu kuifikia