😂😂😂😂😂 ya kwanza ilikuwa inasemaje?Muda huo nilikua naota ndoto ya 3😅
Tar 23 ingekuwa ni j3, mambo yangekuwa bull bull sana
Nimeokota hela af nashtuka sina hata mia🤣🤣😂😂😂😂😂 ya kwanza ilikuwa inasemaje?
Uza simu upate helaNimeokota hela af nashtuka sina hata mia🤣🤣
Ndoto zingine zinatia hasira tu.
Af nitawasiliana vipi na jirani yangu myoyambendiUza simu upate hela
Ndoto za kuokota vitu hazitimiii, utashtuka umesusu 🤣Af nitawasiliana vipi na jirani yangu myoyambendi
Akuuuuu siuzi, hela ipo siku ndoto zitatimia nitaokota
Sijui kwanini jamani🤣🤣🤣Ndoto za kuokota vitu hazitimiii, utashtuka umesusu 🤣
Jirani utamsalimia magazetini asubuhi
Jirani haselfikagi , we uza simu hiyo tupate hela za kuspend next week b4 kasms 😂😂Sijui kwanini jamani🤣🤣🤣
Nitakosa selfie zake
Jirani hapendi pichaJirani haselfikagi , we uza simu hiyo tupate hela za kuspend next week b4 kasms 😂😂
Wapiii DT 😂😂😂Jirani hapendi picha
😂😂 wee em tulia
DT yuko busy huyo, hata kwa simu hapatikani🤣🤣🤣Wapiii DT 😂😂😂
Wkend leo,, ngoja nitafute pa kwenda
😂😂😂😂 naona kaenda kushtuliwaDT yuko busy huyo, hata kwa simu hapatikani🤣🤣🤣
Me nimeshapata pa kwenda, nasubiri muda tu ufike nijongee eneo la tukio
Fuuuuuuu🤣🤣🤣😂😂😂😂 naona kaenda kushtuliwa
Wapiiii Bwagamoyoo🤸🏻♀️
Njooni niwakopeshe 🤣Fuuuuuuu🤣🤣🤣
Hahaaa huko next weekend, saiv hatuna hela acc zimedoda😂
Kuna mgeni anatoka home kuleee, naenda kupokea 🐟🐟
Ndio uje kututangaza tumekopa kwako, hatutakiii😂😂Njooni niwakopeshe 🤣
Emu selfika, wachana na habari zetuHabari za asubuhi wanaselfika?