Leo sibanduki hapaKaa hapahapa basi🤣🤣
Leo sibanduki hapaKaa hapahapa basi🤣🤣
Amen Mama Mchungaji.Mungu ni mwema sana. Another major milestone in your lives. To God be the Glory.



Haya mambo ya Teknolojia ni gharama na ni mazuri. Nitabaki na niliyo nayo maana huwa nachotaka ni simu kukaa na charge tu kitu ambacho nakipata kwa 13 pro max.$1,800. Halafu hata mwaka hauishi wanatoa pro max 15 2TB.
Sasa ulitaka wakupe tuzo? 😂🤸🏻♀️Kuna uzi nilianzisha niliwambia iphone 14promax itafikia hiyo bei watu wakabisha.
hii Pro max yenye ujazo wa juu kabisa pro max ujazo wa kawaida ni bei ambayo haijaenda juu sana, sema nayo kununua simu 4 million eeeh 😀😀😀 ndio maana dada zetu wanapata sana taabuKuna uzi nilianzisha niliwambia iphone 14promax itafikia hiyo bei watu wakabisha.
"If it had not been the Lord who was on our side, Let Israel now say...".Amen Mama Mchungaji.
Thanks for your genuine prayers.
We wouldn't have made it this far without you.
You are forever appreciated![]()



Dereva wako nipo tayari karibuAsante bageshi.
Inshallah tutaonana kama utakuwa Arusha![]()
Wangenipa tuSasa ulitaka wakupe tuzo?![]()

Hapana mkuu lkn kuoitia hiyo send off nilikutana na kiumbe mnyama mkali zaidi hahaHukumla hiyo siku ya send-off? 😁😁😁
Aisee...
Hatari mkuu, tutapona kweli?Aisee...
Ndio najaribu baada ya miaka nenda rudi kupitaHahahaa pole sana
Yaani ukipata experience mbaya ya kitu esp chakula lazima ukichukie, na itachukua muda sana kukijaribu tena.
Kwa hali hiyo ni vigumu mkuu...Hatari mkuu, tutapona kweli?
Wee majaribu hayo jaman, nimetamanii 😍 😋😋😋Ndio najaribu baada ya miaka nenda rudi kupita
Itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda myama RR. Can't wait bro 🙏🏿