Labda yeye atakua macho maana mida yake hiiMpaka Shimba ya Buyenze kalala mapema leo weekend!
Leo ni bahati kwa walioko macho tu mida hii
Duh naona uko viwanja unakula bata kidogo!Leo ni bahati kwa walioko macho tu mida hii
Namwagilia moyo chiefDuh naona uko viwanja unakula bata kidogo!
Mbona nilishataja huko juu chief niko "Kwa Anna"Tag location Mjep
😂 Kwa anna!Mbona nilishataja huko juu chief niko "Kwa Anna"
Ni maarufu sana ukifika Bariadi Simiyu, boss mkubwa T 1990 ELY akiamka atakupa ushuhuda ila ukipaona hapo kwa Anna penyewe live huwezi amini😂 Kwa anna!
Unapafahanu ITILIMA?Ni maarufu sana ukifika Bariadi Simiyu, boss mkubwa T 1990 ELY akiamka atakupa ushuhuda ila ukipaona hapo kwa Anna penyewe live huwezi amini
Karibu sana Bariadi chief
Vizuri kabisa mkuuUnapafahanu ITILIMA?
Nimenunua sana karanga na mbaazi huko bariadi maswa itilima meatu na ile barabara ya kuelekea lamadi! 😂 Kumbe uko kwa wanyantuzu!Vizuri kabisa mkuu
Mitaa yangu ya kujidai yote hiyoNimenunua sana karanga na mbaazi huko bariadi maswa itilima meatu na ile barabara ya kuelekea lamadi! 😂 Kumbe uko kwa wanyantuzu!