Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot 2022-08-20 025534.png
 
Mhhhh
Hakawezi kukosekana hata ka zamani
Ila mida mnayorudi hii nyinyi wapotevu ni balaa
Mimi mzima wa afya nimefurahi kukuona tena hapa, bila shaka wewe pia ulikua salama huko ulikofichwa mzungu wetu
Sikufichwaa hata ubusy tuu Mr vocha nilikuwa nalinda kibanda chetu cha vochaa et ila nimeona umekabidhisha Atonnia 😔 ndio maana nimekuja

Mimi mzima kabisa namshukuru mungu
 
Sikufichwaa hata ubusy tuu Mr vocha nilikuwa nalinda kibanda chetu cha vochaa et ila nimeona umekabidhisha Atonnia 😔 ndio maana nimekuja

Mimi mzima kabisa namshukuru mungu
Antonnia pamoja na kumkabidhi kibanda cha vocha lkn kanimwaga hadharani 😁😁
Kaka yako Carrasco putin akanambia niendelee kuvuta subira hadi uachike naamini sasa utakua umeachika kwa mumeo ili nifaidi mema ya nchi
 
Back
Top Bottom