Humu Watu wakishaji-engage kwenye love affairs na tu kwisha habari yao!
Wanaanza kuoneana wivu with lots of limitations! Full kuchat kwa step, full kupunguza kujiachia , full makasiriko ya hapa na pale,!! Shortly ni full of less freedom!
Ukitaka kuwa huru na kujiachia utakavyo here just mind your own fuckng business na achana habari za malovee!.
#OpinionsAreNotFact
Alamsiki!!