Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mpira hapo upo damuni najua, itabidi niongee vizuri na jirani myoyambendi next bday tukupeleke huko Chelsea ukajiselfie na wachezaji wake live kama zawadiNilikunywa ginger ale ya moto 😂😂
My didi,, napenda mpira tu mimi jamani,, muulize hata babe wako jana Refa Antony ametufanyia nn Chelsea 😭
Ingekuwaga matusi/ kejeli/ laana zinafanya kazi haki yule jana angezimia 😂😂
Huyo refa ipo siku yake
