ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,226
- 49,446
SawaKuna siku niliona jicho wewe
SawaKuna siku niliona jicho wewe
Si Kuna mda anaenda kwa kina jetlee ana kaa mpaka miezi 3Usinigombanishe chino🤣
Ni ndoto ya Kila mtu shemelaaSawa
Chai hii ongeza sukariNi ndoto ya Kila mtu shemelaa
Mtoto km inaonekana hazijasoma mileage za kutosha.Age go chino 🤗
HApo sijaongea kama chino ila ni roho mtakatifuChai hii ongeza sukari
Vibe gani sasa kijanaMtoto km inaonekana hazijasoma mileage za kutosha.
Ni Yale maembe mabichi ya kulia na chumvi.
Afu una vibe unaonekana wewe
Fumba macho tuombe 🤣HApo sijaongea kama chino ila ni roho mtakatifu
Nimeona Nuru usoni; bashasha!Vibe gani sasa kijana
Amina na iweFumba macho tuombe 🤣
Yeah vibe lipo kama nikimzoea mtuNimeona Nuru usoni; bashasha!
Noma nilikua naandika tayari ikiruhusiwa nita ku tagAmina na iwe
Niwazidi wengine kwenye mbio
Humu tuna imagination nyingi mno Kuna namna mtu ana kupicture tofauti na uhalisia ila uhalisia tupo tofautiKwenye uzi wangu wa birthday mtu aliuliza una miaka mi ngap nikamuambia naitafuta 30 bado ngazi chache hakuamini
Uzi wa forever young watu karibia wa 3 hawakuamini mwingine ndio huyo anasema nipo kwenye 40+ mwingine 35+
Sasa najiuliza nifiche natafuta mume ?ili iweje yaani🙌🏼
But unaamua kuwaacha maana sio muhimu hata hivyo
Poa!!Noma nilikua naandika tayari ikiruhusiwa nita ku tag
Noma sana aiseee anyway tuishi tu shemelaHumu tuna imagination nyingi mno Kuna namna mtu ana kupicture tofauti na uhalisia ila uhalisia tupo tofauti
Sema na li IQ ilo linachangia
😅sawaPoa!!
Tungebookua pamoja kwenye group assignment Kila siku ningekua nakuwahi
Kumbe cello gripper bado zipo😁#TheSunHasRisen , kumekucha tayari jua limechomoza na matumaini mapya yanachomoza kila siku View attachment 3694001
Mr Venom ni muda wa kusambaza Venom za kiharakati View attachment 3694002
Hazipo madukani ya kawaida , Kuna duka special nanunua boksi zima , rejareja nilikuta mitaa ya posta inauzwa mona buku lol😎Kumbe cello gripper bado zipo😁