Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,416
- 7,655
Umelala yoooTena thiimba kindaki ndaki.
Umelala yoooTena thiimba kindaki ndaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1212]
We acha tu[emoji45][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nimewapa free, kutoa duku duku lao, na ninawatazama tyuuh.
Siku mie nkashinda, nitakachowawashia watajuta kunifahamu.
Tunning red coco ntazichek encanto nimeshaipitiaTunning red, Coco, Encanto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuanze msimu upyaa, hakuna kukata tamaaa.We acha tu[emoji45]
All gud broTunning red coco ntazichek encanto nimeshaipitia
Lovie warrrap
BINAMU WANGU WA FAIDA MUMUACHE KABSA.Tupishe huko Kwanza ulikuwa huendani na Boss Mjep ww pambana na mumeo Ntiluseswa
Huyu mzungu leo amejua kunichekeshaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndio alikua anacheza vinini🤣🤣🤣??
MUTHUNGU LEO ALIZANI ATAOGOPWA NA RANGI YAKE HAWAKUJUA KAMA KUNA JOB KAMA JOB AEU SOJA YA BEMBA AFU KIBWANA SHOMALI.tafadhal mtoto washangaz( 1) NAKUPENDA SANALeta mzunguuu
KLMM leo sio nyumbu sio simba nmelala yoo
Mtoto washangaz waache tu wawe wanatuletea wazungu afu watajua kama hata 2PAC alikuwa ni nanHuyu mzungu leo amejua kunichekeshaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndio alikua anacheza vinini🤣🤣🤣??
Huyo ni Mayeleee tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mna shida Sana yani!?
AFU WEWE MTOTO WA SHANGAZ WW NI WANGU TYU AFU NAKUPENDA SANA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wananchi wenye nchi tumefanya yetuAjiinyooongeeeeeeeeee[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] Sijui wamejificha chaka gani bwahahahahahaa!! [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Ilitakiwa liwe la tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Goal la 2 kaliii, limenibamba, huyu mbwa leo alipania khaaaah.
Mmelala yoooohNavotukanwa tsup, watu wana matusi jamaan khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi yanayoshushwa kwangu, hadi cm inapata motooo.
Uwiiiiih.
Sasa hivi sijui watamleta naniTupo kwenye mikakati ya kumfukuzisha kocha wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anafunga viragoThubutuuuuuuuh, maki bado yupo sana, sema aliboa alipomtoa chama. Khaaah