Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapambe tusiwakubali
Mimi nawe tushikamane
Tusisikilize uzushi
Nia yao tufarakane
Baba mtumishi wangu mwanaume na nusu
Nataka tufunge ndoa
Nikuzalie na Wana
Nananana.....
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Old is gold

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
OverviewListenVideosLyricsArtists
Yooooo!
(Yogo on beat)
You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someone
For you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Cc: Antonnia
Selfika mmepatwa nanini leo??????
Mie sijui kuimba Eli muimbie mwingine pullliiiizzzzz!!🙏🙏🙏🙏🙏!!🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!
 
And I'm loving you my beibee
Nishakuweka moyoni

Nikiwa na weee
I'm feeling the meaning of true love
I feel you my beibee

Wangu mwandani
Mapenzi matamu nayatamani
Mpenzi jamani


Navy kenzo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ma fav song, zamani hiyoo.
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
 
Selfika mmepatwa nanini leo??????
Mie sijui kuimba Eli muimbie mwingine pullliiiizzzzz!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]!![emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]!
Bhasi kama hujui kuimba cheza tu inatosha mkuu
 
Mkuu unajua kuwa msanii pekee ni unafiki tosha, ni sawa na kuwa amekataa baadhi ya mafundisho na kukubali baadhi. Kwa maana ye na mondi wanakutanisha vikojoleo (ambapo hairuhusiwi) lakini eti dili la pombe amekataa! Mungu na atunusuru!!
Umeenda mbali kote huko[emoji1787]
Angalia tu kwanza jinsi alivyovaa.. I'm not sure kama dini yake inaruhusu kujianika uchi namna hiyo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
🎶Kati vita yesu mwamba wanguuu
Katiii huzuni yesu ni mfarijiiii

🎶 Aliingiia moyoni mwangu kanipa utulivuuuu🎶🎶
Kaniambia ewe mwanangu usiliee tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaaa🎼
Biiiilllaaaa yesuuuuuu Mimi ni mtu bureee🎼
One and only Jesus!


🙏🙏🙏
 
Violence [emoji1787][emoji1787]View attachment 2304861
giphy.gif
 
[emoji445]Kati vita yesu mwamba wanguuu
Katiii huzuni yesu ni mfarijiiii

[emoji445] Aliingiia moyoni mwangu kanipa utulivuuuu[emoji445][emoji445]
Kaniambia ewe mwanangu usiliee tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaaa[emoji443]
Biiiilllaaaa yesuuuuuu Mimi ni mtu bureee[emoji443]
One and only Jesus!


[emoji120][emoji120][emoji120]
Moyo wangu usilie tena
Moyo wangu usifadhaike
Unaye Mungu mkuu sana
Unaye Mungu muweza wa yote

Aliingia moyoni mwangu
Kanipa kutulia
Kanambia ewe mwanangu
Usilie lie tena
Ninajua shida zako
Mimi nitazitatua
Bila Yesu mimi ni mtu buree

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Selfika mmepatwa nanini leo??????
Mie sijui kuimba Eli muimbie mwingine pullliiiizzzzz!!🙏🙏🙏🙏🙏!!🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!
Boss lady leo panachimbika hapa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom