Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya tuta baby koleza gear
Yaani tamtam kama pipi
Nakuita sweety, ah roterote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shepu vipi? kama lote
Vicheche nishadelete
Sitaki cheat, watoketoke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndIo dereva, asa kukuacha ooh oooh!
Naanzaje? Ooh mimi
Naanzaje? Aah mimi apa
Naanzaje? Mwenzako ooh kukuacha siwezi
Naanzaje? Ooh mimi
Naanzaje? Aah mi jamani
Naanzaje? kukuacha ooh, kabisa siwezi
Hadithi kuja hadithi njoo, utamu kolea
Mwezenu huba liko kwa roho, limeninogea
Vishanshuda poleni ooh, mnalo wambea
Mtaja kuugua makwasha koo, kwa kutuongelea
Tena mie kwake ndio dakitari, nampa tiba halali
Wanaitaga sukari, alamba aam!
Na jana nilifunga nikasali, nikamuomba Jalali
Atuepushe madhohari, ya wanadam

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji450][emoji448][emoji443][emoji443][emoji443]
Kazi kwako mdogo wangu leo hutoboi nakwambia[emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie nyie nyie
 
[emoji445]Kati vita yesu mwamba wanguuu
Katiii huzuni yesu ni mfarijiiii

[emoji445] Aliingiia moyoni mwangu kanipa utulivuuuu[emoji445][emoji445]
Kaniambia ewe mwanangu usiliee tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaaa[emoji443]
Biiiilllaaaa yesuuuuuu Mimi ni mtu bureee[emoji443]
One and only Jesus!


[emoji120][emoji120][emoji120]
Nikajua umeshusha lijisong lako la mahaba na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikajua umeshusha lijisong lako la mahaba na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilibidi nimwite bwana yesu aje kuingilia kati sio kwa kuchachuka kwa watu huku selfika mama pasta😂😂😂!!
Titawapoteza watu walai mahaba hayajawai kumuacha mtu Salama mama pasta!
Bado tunawapenda hatutaki wapoteee kwakweri!!😂🤭🤭!!
 
Ilibidi nimwite bwana yesu aje kuingilia kati sio kwa kuchachuka kwa watu huku selfika mama pasta😂😂😂!!
Titawapoteza watu walai mahaba hayajawai kumuacha mtu Salama mama pasta!
Bado tunawapenda hatutaki wapoteee kwakweri!!😂🤭🤭!!
Inaonekana selfika wameshukiwa na wingu zito la Mahaba. Sio kwa mijisong hii
 
Mi naendelea kuselfika zangu shoss mahaba nawaachia Wenyewe!!!
Selfikaaaaaa

Forever and always!![emoji3577][emoji3577]
Weuweeeeeeeeeeeeh!!!! Mtoto trakooooooooooh.
Yaan una mshepuuuuu, weyeee shougaaaah!!

Aririiiiiiiih, kuna mwambaa anafaidiiiiiii.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom