Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji4]
IMG-20220726-WA0021.jpg
 
[emoji445]Kati vita yesu mwamba wanguuu
Katiii huzuni yesu ni mfarijiiii

[emoji445] Aliingiia moyoni mwangu kanipa utulivuuuu[emoji445][emoji445]
Kaniambia ewe mwanangu usiliee tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaaa[emoji443]
Biiiilllaaaa yesuuuuuu Mimi ni mtu bureee[emoji443]
One and only Jesus!


[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibayaa wee, khaaaah.
 
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
[emoji448][emoji443][emoji444]
Jehovaaaaa[emoji119][emoji119]
 
Dadeq[emoji2][emoji119]
Haya mashairi alinipa mtu[emoji3059]King Kiba.



.....
Unanipa raha
Mpenzi wangu nahisi raha
Raha raha
Najihisi mwenye furaha

I see it beibee
Love on your face
When you kiss me I feel so sweety

I do I do I do I do I do
I do baby[emoji91][emoji91][emoji91]

Dayna Nyange

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Abeeee
 
Back
Top Bottom